Aya
8
Mahali iliteremshwa
Makka
SURAT AT-TAKAATHUR
(Imeteremka Makka)
Sura hii inawaibisha wale ambao kushindania wingi kumewashughulisha na kutimiza hiyo, na inawakhofisha yaliyo ya waajibu. Na inawaonya kwamba hakika watakuja jua mwisho wa taksiri hiyo, na inawakhofisha watu kuwa watakuja uona Moto na watakuja ulizwa neema walizo kuwa nazo.