Sura Az-Zilzal

Aya

8

Mahali iliteremshwa

Madina

SURAT AZ-ZILZALAH 

(Imeteremka Madina)

 Aya za Sura hii zote hazipindukii hali za Kiyama:-

Mtikisiko wa ardhi, na kutoka khazina na maiti binaadamu na kuuliza kwake kwa yale yaliyo makaburini mwao kwa mtafaruku wende kupokea malipo yao!